Harmonize Azungumzia Swala la Kuachana na Sarah.

Kuna tetesi za muda zimekuwa zikisamba kuwa msanii harmonize  na mpezni wake Sarah  wamegomba na kwamba mapenzi yao yamefikia mwisho.harmnize amekanushatetesi hizo na kusema kuwa hakuna ukweli owowte kuhusu hilo na kwamba mpenzi wake hayupo nchini.

Akiongea na Wasafi tv, Harmonize anasema kuwa sarah yuko Italy kwa sasa amekwenda nyumbani kwao hibyo hakuna ukweli kuwa wameachana na swala la wao kuwa pamoha halitawezekana kutokana na hilo.

download latest music    

Sarah kwa sasa amesafiri yuko zake italy na ndio maana unaona kuwa siku hizi hatuko pamoja.

Harmonize na sarah wamekuwa na mahusiano kwa muda mrefu sana zaidi ya mwaka kwa sasa na hata walipokuwa hawaonekiani pamoja wawili hao walihisiwa kuwa wameachana.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.