Hasheem Kurudi NBA Muda Wowote

Mwanamichezo maarufu nchini Tanzania ambae amekuwa maarufu sana baada ya ucheza vizuri nje ya nchi katika michezo ya mpira wa kikapu Hasheem thabit anaweza kurudi katika ligi ya NBA muda wowote kuanzia sana ikiwa michuano hiyo ikiwa imeisha wikiend hii.

Kumekuwa na taarifa nyingi zikienea katika mitandao mbalimbali katika nchi za ulaya kuwa mchezaji huyo amekuwa akitafutwa na klabu tatu tofauti kwa ajili ya kufanya nae mkataba na kusaidni aratasi hizo ili kuweza kuwa mchezaji wa timu zao.

download latest music    

Mwaka 2012, Hasheem aliwahi kusajiliwa kama mchezaji huru katika moja ya timu ambazo zimekuwa zikishiriki mechi za NBA.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.