Hata siku Moja Marehemu Hakunifanya Niamini Kuwa Ana Mtoto Mkubwa Hivi:-lemutuz

Mwanamitandao maarufu nchi Tanzania, Le Mutuz amefunguka na kusema kuwa amekuwa na mahusiano na Agnesss Masogange kwa muda mrefu lakini marehemu hakuwahi kumwambia wala kumuamisha kuwa anaweza kuwa na mtoto mkubwa kiasi hicho.

Lemutuz amabe anakiri kuwa wasanii wengi wamejitoa sana katika msiba huu wa mpendwa wake na serikali pia katika kutoa misaada, anawapa hongera na pole nyingi waombelezaji lakini bado anakuwa anashangazwa kwamba kwanini agness hakuwa anataka kuwaonyesha watu kuwa ana mtoto mkubwa.

download latest music    

kabla sijaendelea mimi sio mnafiki, nimemjua marehemu kwa muda mrefu sana , lakini marehemu  HAKUNA HATA SIKU MOJA MAREHEMU ALIWEZA KUNIFANYA NIAMINI KUWA ANA MTOTO MKUBWA  kama ninavyojua sasa, na nimejua baada ya yeye kutangulia mbele ya haki.ni makosa sana kuilaumu maiti lakini wadada wa mjini jifunzeni kuwa proud na maisha yenu, mnapopost picha zenu huko instagram jitahidini kuonyesha kuwa mnawatoto ili tujue na kuwapend akila siku sio tunakuja kusapotiana kwa suprise.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.