Loading...

Heri Muziki Asema Hawezi Kurudiana na Diva

February 13, 2018 at 07:11
Heri Muziki Asema Hawezi  Kurudiana na Diva

Ni kawaida kwa mastaa na watu maarufu kushinwa kudumu katika mahusiano yao ya mapenzi huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni huo umaarufu wanakuwa wanaupata unawafanya washindwe kujishusha na kudumu katika mapenzi.

Heri na Diva hivi karibuni walizinguana na kgombana mbele ya media kisa mapenzi yao, hali iliyowafanya washindwe kuendele kudumu katika mapenzi, hali hii pia iliwafanya kuharibiana hata kazi zao wenyewe ambazo walikuwa wakizifanya.

Loading...

Akiongea na waandsihi wa habari Heri Muziki amekiri kuwa kamwe hawezi kurudiana na Diva hata mara moja na hata kama watakaa chini na kuweka amani lakini hawawezi kuwa hata marafiki kwa sababu walishakuwa maadui na kushindwa kukaa pamoja kwa kipindi cha nyuma.

kurudiana na diva siwzi na ninadhani hata yeye pia hawezi ,kwaiyo tunaweza ku-make peace lakini hatuwezi kuwa marafiki na kurudia yale mapenzi ya zamani, nadhani kila mtu ataendelea na maisha yake tu.

Heri Muziki pia nasema kuwa tatizo kubwa ni kwamba hakuwahi ku-date na mtu maarufu kabla ya diva,hivyo baada ya ku-date na Diva kuna kitu amejifunza na hicho kinamfanya hasitak etena kurudia makosa.

Sikuwa nime-date na mtu maarufu before diva,wa kwanza ni yeye kwaio imekuwa ni moja ya exprience ya kutosha sana kwangu  na after hapo siwezi tena kurudia  au nisingependa ku0date na mtu maarufu tena.

Diva na Heri Muziki walikuwa na project inayohusiana na kazi za muziki ambapo wimbo wao ulikuwa ukiitwa waambie alioshirikishwa  Mr. Paul na Mwana Fa lakini baada ya kugombana Diva aliamua kuubadilisha wimbo huo na kukitoa kipande cha heri na kuweka sauti yake.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…