Loading…

Hii ndio picha ya mwanawe Ali Kiba, Amiya akiwa safari na farasi inayozingua WaTanzania kwenye mtandao

April 19, 2017 at 15:11
Ali Kiba

Mtoto wa Alikiba Amiya anaendelea kuwa mtu mzima na kwa wakati huo anaeneza vipawa zake kama vile babake.

Na si umwibaji bali uendeshaji wa farasi.

Loading...

Ali Kiba leo kwenye mtandao wa instgram alishare picha ya Amiya akiwa na ameshika farasi pamoja na vifaa vyote vya kuendesha na hili linazingua mafans zake ambao wameshtushwa na kipawa cha mwana huo kua na kipawa cha hali ya juu namna hiyo.

Mtazame hapa:

 

Princess @amiyakiba #kingkiba

A post shared by alikiba (@officialalikiba) on

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Lifestyle
Loading...

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher.
Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi