Hili ndilo onyo JB alipea serikali kuhusu filamu feki zinazoingia Tanzania

Msanii mkongwe wa filamu, Jacob Stephan ‘JB’ ameongelea swala la filamu feki hapa Tanzania na ametoa onyo kali sana kwa serikali.

Muigizaji huyo alikuwa ni mmoja kati ya wasanii wa filamu alioandamana kuitaka serikali kuzuia filamu ‘feki’ za nje ambazo hazilipi kodi na akaeleza ata wasanii wa Tanzania hawatalipa kodi kama hizo filamu hazitasimamishwa.

download latest music    

“Nia yetu walipe kodi kama sisi, kama wakiendelea kufanya biashara bila kulipa kodi na sisi tutagoma kulipa kodi kwa sababu wao wanauza bidhaa zao kwa bei nafuu kwa sababu hawalipi kodi,” Alieleza Bongo 5.

 

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi