Hizi Ndo Couple Kali na Zilizokuwa Gumzo Bongo (picha ndani)

Watu wengi hupenda kuangalia miziki na filamu mbalimbali na kuvutiwa na waigizaji au wanamuziki au hata watu wengine maarufu mtandaoni lakini wengi wao huvtiwa zaidi na couple ambazo hutokana na watu hao maarufu.

Leo tutaangalia couple ambazo ni shida kwenye mitandao ya kijamii yaani zinapendwa na gumzo kwa watu wengi hasa mashabiki zao.

download latest music    

1.Diamond Platnumz na Zari the Bosslady

Hii ni mojawapo kati ya couple ambayo inafatiliwa sana na watu kutokana na maisha yao na watoto wao na hasa skendo zao za kila siku.

2. Lulu na Majizzo

Couple hii inasifika kwa kuweka mambo yao binafsi mbali na mitandao ya kijamiipamoja na kwamba mashabiki za hupenda kujua nini kinaendelea.

3. Nahreel na Aikah (Navykenzo)

Aikah na Nahreel sio tu wapenzi bali ni wamuziki walio kwenye kundi moja la Navykenzo mashabiki wao wanapenda staili yao ya kuweza kuimba pamoja na kuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu

4. Jacqueline Wolper na Brown

Jacky humuita mpenzi wake huyu BFF na watu huvutiwa na ukaribu wao na uvaaji wao.

5. Reginald na Jackline Mengi

Couple hii inavutia watu wengi sana kutokana na tofauti iliyopo kwenye umri wa mfanyabiashara huyo na aliyekuwa miss Tanzania na kivutio zaidi ni watoto wao mapacha.

6. Esma Platnumz na Petit Man

Esma na Petit wanaongelewa sana sababu ni walioana na kuachana na kurudiana tena na saivi wanaonekana na furaha zaidi.

7. Harmonize na Sarah

Couple hii imepata umaarufu kutokana na skendo zinazowazunguka ikiwepo Wolper kuachwa na Harmonize ili awe na Sarah.

8. Nancy Sumari na Lucas

Hii ni moja ya Couple zilizo na umaarufu sana kwenye mitandao ya kijaamii na mtoto wao mzuri Zuri.

Je kati ya hizo couple hapo juu ni ipi inakuvutia zaidi?

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.