Loading...

Huu ndio muonekano mpya wa Shilole baada ya kupata mchumba?

May 18, 2017 at 16:17
shilole

Shilole anaejulikana kama bad girl shishi amewaekea mashabiki wake picha mpya ambayo imetuacha tukijiuliza kama huu ndio muonekane wake mpya.

Kwenye picha hiyo, Shilole anaonekana kufanana na alikuwa muigizaji wa zamani wa Amerika Marilyn Monroe. Ingawa picha hiyo ilifanyiwa ukarabati kabla ya msanii kuiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram na mashabiki wake wametii kuwa Shilole anaonekana mrembo kwenye picha hiyo.

Baada ya kuiweka picha hiyo Shilole aliandika kusema #stargirlšŸ’« kudhibitisha kuwa pia yeye alikuwa amefurahishwa na picha hiyo.

Ikiwa haujaitazama bado, basi angalia hapa chini.

Shilole

Shilole

Leave a Reply

Be the First to Comment!

avatar
wpDiscuz

in Entertainment
Loading...
I write entertainment stories as well review and critic local music. Apart from my busy schedule you can catch me on social pages by clicking on them below