Jay Melody Atuma Ujumbe kwa Diamond

Msanii chipukizi kutoka THT ametuma salamu kwa msanii mkubwa nchini Diamond Platinumz na kumwambia kuwa itakuwa vizuri kama wanaweza kukaa pamoja na ufanya kolabo ukizingatia kuwa wao wote ni mastaa.

Msanii huyo kutoka THT anasema kuwa amekuwa na plan za kutaka kufanya kazi na Diamond pamoja na maromboso na anakua kuwa ipo siku kila kitu kitakuwa sawa.

download latest music    

Hata hivyo jay melody anasema kuwa pamoja na nguvu kubwa ya kazi aliyonayo Diamond Platinumz lakini anaona uwa kazi nzuri anaweza kuifanya ama ataimba na msanii Mboso.

Jay Melody ni moja ya wasanii waliokulia THT na kufanya vizuri na hata kupokelewa vizuri sana katika iwanda cha muziki huku na wao wakifanya kila njia kutotaka kuwaangusha mashabiki.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.