Joel Ashauriwa Kuanza Kufanya Show Bar.

Msanii wa injili Joel Lwaga ameshauri na moja ya watangazaji wa Clouds tv kuanza kufanya shoo katika bar na kumbi za stareh ili kuweza kuwavuta pia watu wengi wasioamini katika dini ianayoitangaza na kuiimbia injili.

Mtangzaji huyo anaejulikana kama Mussa maarufu kama Mwanadsm, anasema kuwa pamoja na kwamba kwa sasa muziki wake umeshika kasi lakini kinachotakiwa ni kuanza kuwafuata watu katika sehemu mbalimbali sio tu makanisani na katika matamasha bali hata wasioamini.

download latest music    

ukijifunza maisha ya bwana yesu alikuwa akiwachukuwa wale wasioamini na kuwaanza kuwafanya waamini,kwaio ni wakati sasa wa kuanza kuwachukua wale wasioamini na  kuwafanya waamini, kila siku mmekuwa mkipiga matamasha ,  nataka siku moja mkafanye shoo  Kona bar

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.