Jokate ni Mshauri na Rafiki Yangu Mkubwa ;-Nandy

Imekuwa ikizoeleka kuwa wasanii wengi wenye majina huwa inakuwa ngumu sana kuwa karibu na kufanya mambo kwa pamoja,kuna muda inakuwa kama kuna pepo linawapitia wasanii hawa wakubwa tena hasa wa kike  na kujikuta kuwa hawana mahusiano mazuri.

Hii imekuwa ikitokea asio tu kwa Tanzania  lakini pia haa nchi za jirani wasanii wengi wa kike wamekuwa hawaelewani sana na hata kukutana yao inakuwa katika yale matukio tu yanayoweza kuwalazimu kukutana.

download latest music    

Lakini hii ni tofauti kwa mwanadada Jokate na Nandy ambao wanasemekana kuwa ni marafiki lakini pia ni watu wanaoshauriana sana ktika kazi na maisha.

Akiongea na waandishi wa habari, Nandy anathibitisha hayo na kusema kuwa ” DC JOKATE NI ZAIDI YA RAFIKI KWANGU, NI MSHAURI WANGU MKUBWA  ANAUUPENDA SANA MUZIKI WANGU NA ANANIPENDA MIMI PIA”

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.