Joti Aomba Kutengwa kwa Siku Maalum Kumhenzi Mzee Majuto.

Msanii wa maigizo ya vichekesho ,Joti amefunguka na kusema kuwa kuna haja ya taifa na wasanii kwa ujumla kuwa na siku maalum kwa ajili ya kuwahenzi wasanii wakubwa waliotangulia ambao wanamchango mkubwa kwa maisha ya vijana na  tasnia ya sanaa kwa ujumla.

Joti anasema kuwa kwa mfano kama mzee majuto ni moja ya wasanii ambao amekuwa akiwahamasisha vijana wengi sana kuingia katika tasnia ya sanaa lakini pia amesaidia kwa kiasi kukibwa kukua kwa sanaa hivyo kulikuwa na haja ya kumpa heshimayake kwa kumuandalia siku yake.

download latest music    

kusema kweli kama zee majuto amewafnya wasanii wengi sana kuingia katika sanaa ya vichekesho na inafaa kuwa na siku maalum kwa ajili ya hiyo na pia kwa wasanii wengine ambao wana mchango kama yeye.–Alisema hivyo Joti alipokuwa aakizindua msimu mpya wa Tamthilia yake ya Mwantum

 

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.