Katika ya Navy Kenzo Yazidi Kupanda Chat BBC Radio

Wimbo wa katika ulioimbwa na navy kenzo wakimshirikisha Diamond Platinumz unaziid kupasua anga na kufanya vizuri hadi nje ya nchi katika vituo mbalimbali vya radio na televisheni.

Wimbo huo uliotoka wiki chache zilizopita aumeweza kufikisha views zaidi ya million 4 ndani y siku hizo chache ikiwa hiyo ni moja ya mafanikio makubwa ya muziki ndani na nje.

download latest music    

Hata hivyo katika Radio kubwa duniani inayotangaza habari  mataifa akubwa na yenye kuaminika zaidi BBC Radio wimbo huo umeweza kufika na kupanda chti siku hadi siku  na hata kufikia nafasi ya mwanzo katika radio hiyo.

Hii ni moja ya mafanikio makubwa ya muziki wa tanzania kuwa sasa umekuwa ukifika mbali na kupendwa na watu wa nje .

Hongera nyingi lwa kundi la navy kenzo na WCB kupitai bosi wao Diamond platinumz.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.