khassim Anatamani Uwepo wa Mboso Wengi.

Msanii khassim mganga amefunguka na kusema kuwa anatamani sana kuwepo na wasani wengi kama Mbosso huku akimwangia sifa kemkem kutoka kwake kutokana na kazi nzuri ya muziki anayoifanya.

Khassim anasema kuwa amekuwa akimfatilia mbosso kwa muda tangu ameanza kufanya kazi na amekuwa akina sana bidii yake katika kazi na anatamani kuwa wasanii wengine wazaliwe wawe kama Mboso.

download latest music    

Akiongea  katika mahojiano khassim mganga anasema ‘Nafurahi sana kumuona mbosso kwa sababu anakipaji kizuri sana, hivyo naamini kuwa tukiwapata wakina Mbosso kama wanne hivi basi muziki wetu utaenda vizuri sana.na hii ni heshima kubwa sana kwa sababu hakuna kitu kizuri kama kufanya kitu na baadae unakuja kuona mafanikio yake, niliupigania sana huu muziki.”

Lakini pia khassim anasema kuwa kuwepo kwa wasanii kama Mboso hakumpi changamoto bali kuna mpa moyo kuwa muziki unazidi kusonga na yeye anatoa baraka zake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.