Khassim Mganga Awaponda Wanaoweka Matangazo Kwenye Akaunti za Wasanii.

Msanii Khassim Mganga amefunguka na kusema tabia inayomkera katika utumiaji wa mitandao ya kijamii ni pale ambapo watu hutumia  kurasa za wasanii kufanya matangazo ya biaashara bila kuwa na ridhaa ya wenye kurasa husika.

Akiongea katika mahijiano , khassim mganga anasema “utamkuta mtu  unaweka kazi zako katika ukurasa wako lakini anatokea mtu miwngine huko anaweka matangazo , tena hata haangalii aina ya tangazo  yeye anaweka” Anasma khassim.

download latest music    

Hata hivyo hii imekuwa ni tabia ya watu wengi kutumia page za mastaa na kuweka matabgazo yaoya biashara bila kuwa na ruhusa ya mwenye akaunti hiyo na hii imekuwa ikiwakwaza wasanii wengi hata kuamua kutoruhusu sehemu ya kupokea maoni kitu ambacho pia kinawa-cost muda mwingine.

khassim ni moja ya wasanii wanaosifika kwa nyimbo za mahaba  na ni moja ya wasanii wa bongo walioanza muziki muda mrefu nyuma anaeweza kuingia kwenye historia ya kukuza mudziki wa bongo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.