Kivazi cha Kitenge Kilivyotawala Party ya WCB( +Picha)

Wikiendi hii ilikuwa ni party ya wasanii kutoka WCB wakimkaribisha rasmi msanii mwenzao aliyekuwa katika kundi la ya moto band kabla band hiyo  haijavunjika Maromboso.Mboso amekaribishwa na kutambulisha wimbo wake mpya alioanza kuufanyia kazi akiwa WCB.wasanii wa lebel hiyo walitoka kipekee kwa kuhamua kutupia kivazi cha kitenge kama inavyoonekana.

download latest music    

Diamond akiwa na Maromboso katika kivazi cha kitenge.

Rayvanny na Fayma (mama mtoto wake) katika kivazi cha kitenge.

Esma Platinumz na mume wake Petit wakiwa katika pozi kuelekea katika party ya WCB.

Harmonize na mzungu wake wakiingia ukmbini na baadhi ya wageni katika kivazi cha kitenge.

Rommy Jonns akiwa ametupia suruali ya kitenge na kikofia kwa juu.

Queen Darleen akiwa amevaaa kigauni chenye nakshi ya kitenge pembeni.

Mama Diamond na baadhi ya wageni katika muonekano wa kitenge halisi.

Mrembo Tunda katika muonekano wa kitenge nae alikuwepo.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.