Kuna Wasanii Wanatumika kama Punda ;-Mama Samia

Siku ya febraury 13 , mh makamu wa rais Mama Samia aliamua kukutana na wasanii mbalimbali kwa ajili ya kuzungumza nao kuhusu swala zima la matumizi ya madawa ya kulevya hasa baada ya kutolewa kwa tathmini kuwa katika makundi yanayoathirika sana na madawa ya kulevya basi wasanii ni kundi kubwa zaidi.

Akiongea na wasanii Mama Samia anasema kuwa inasikitisha sana kwa sababu kuwa wasani wamekuwa wakitumiaka kama punda wanaobeba mizigo kubea madawa ya kulevya.

download latest music    

Mama Samia amaewaha na kuwaomba wasanii kuacha kujihusiaha na matumizi na hata boashara ya madawa ya kulevya kwa saba u hata kama inaleta faida kwa haraka , lakini hasara zake ni nyingi kwao na kwa taifa pia.

Naamini kuwa kuna wasanii wengi sana hapa ni vioo vya jamii , lakini pia baadhi yao wamekuwa wakitumiaka kama mapunda kubeba mizigo tu, na wengine kudumbukia katika uraibu wa madawa ya kulevya.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.