Kwa Maneno Haya ya Mange, Wema Bado ni Muanga wa Madawa ya Kulevya.

Akiwa kama kioo cha jamii na moja ya wasanii wenye ushawishi mkubwa sana wa watu , Wema Sepetu bado anaonekana kuwa bado ni mtumiaji wa madawa ya kulevya aina ya bangi kama ilivyokuwa hapo awali ambapo aliweza kuingizwa katika kesi hiyo.

wema aliwahi kukamatwa kwa kosa la kutumia madawa ya kulevya ambapo kesi yake haina muda mrefu tangu kuisha kwake lakini kwa maneno ya mwanadada Mange kimambi basi wema bado ni mtumiaji mzuri wa kilevi hicho ambapo kimekuwa kikipigwa marufuku.

download latest music    

akiandika katika instahram account yake, mange kimambi alipoamua kumlipua mwanadada wema kuhusu mahusiano yake na dogo janja hivi karibuni hata kusababisha  ndoa yake na irene kuvunjika, mange kimambi anasema kuwa siku ya tukio hilo wawili hao walikuwa wamevuta sana bangi,

basi story ilikuwa hivi, wema alikuwa nyumbani kwa Hellen wana hangout na kuvuta mabangi yao, bangiz izkamkolea akamkuta chalii wa Arusha nae anastress za mke wake basi wakaenda room na mume wa mtu akafirigiswa vilivyo na dogo janja..

Kwa maana hiyo basi ni kwamba athari za bangi zimeweza  kumfanya wema mpaka kufanya mambo ambayo inawezekana baada ya siri iyo kuvuja wema amekuwa akijutia kosa ilo kwa sababu hakuwa anajitambua.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.