Loading...

Lyn Nae Kufata nyendo za Hamisa Mobeto

December 06, 2018 at 08:34
Lyn Nae Kufata nyendo za Hamisa Mobeto

Mwanadada irene ambae ni video queen  ambae pia aliwahi kupata umaarufu sana baada ya kusemekana kuwa amekuwa akitoka kimapenzi na mwanamuziki Diamond Platinumz amejikita rasmi katika maswala  ya muziki huku akiachia wimbo wake mpya.

Wimbo guo unaokwenda kwa jina  la chafu umeandikwa na msanii mwenzake marioo na kuwa directed na hanscana huku ikifanyika nchini Afrika ya Kusini.

Loading...

Mwanadada huyo anasema kuwa kwa sasa amemua kuijiingiza rasmi katika muziki na anaomba sapoti kubwa kutoka kwa mashabiki zake, huku akisema kuwa ameshatambulika kisheria na BASATA  hvyo hakuna haja ya mashabiki kuwa na wasiwasi na kazi zake.

 

Share

Comments

  1. Mashabiki? Sikujua ana mashabiki eti

  2. Jitume tume hutalack chochote

  3. Kila la kheri kwenye safari hii ya muziki iliyo ngumu!

  4. Hamna lolote. Baki tu kufanya udangaji maanake ndicho ulichokizoea

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…