Madam Flora ako tayari kuingia kwenye ndoa tena na anatafuta mwanaume wa namna hii

Madam Flora amezungumza kwa mara ya kwanza baada ya ndoa yake na Emmanuel Mbasha kuvunjika.

Amezugumzia sana sana uamuzi wake kwa kujiita madam Flora na hapo awali alijulikana kama Flora Mbasha na vile waliochukulia uamuzi huyo.

download latest music    

Kulingana na yeye, hajaadhirika na ako na amani ndani ya moyo. La si hivyo tu, ako tayari kuingia kwenye ndoa tena na hizi ndio vitu anazotaka kwenye mume.

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi