Madawa Ya Kulevya Yamuua Kaka Yake na Eric Omondi

Mchekeshaji maarufu kutoka 254 Kenya, Eric Omondi ametangaza Kifo Cha kaka yake aliyemtaja kwa jina la Joseph Onyango Omondi.

Siku ya jana kupitia ukurasa wake wa Instagram Eric Omondi aliweka wazi kuwa kaka yake amefariki dunia kutokana na athari zilizotokana na matumizi ya madawa ya kulevya.

download latest music    

Omondi aliweka wazi kuwa kaka yake alikuwa mtumiaji wa madawa kama Cocaine na madawa mengine makali kwa zaidi ya miaka 19.

Masaa kumi na mbili kabla hajaaga dunia Eric alienda kumuokoa kaka yake kutoka Kwenye mitaa aliyokuwa amejichimbia tayari kwa kumpeleka rehab lakini kwa bahati mbaya alifariki.

Erick Kupitia ukurasa wake wa Instagram aliweka habari ya kaka yake kwa nia ya kuweza kuwasaidia vijana wa nchini humo:

 

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.