Madee Aongelea Ugomvi wa Dogo Janja na Irene.

Mwanamuziki Madee amefunguka na kuongelea  swala linaloendelea kwa sasa katika mitandao ya kjimii kuhusu ugomvi wa mwanadada Irene uwoya pamoja alaiyewahji kuwa mume wake Dogo janja.

Wawili hao ambao wamekuwa wakirushiana maneno aktika mitandao ya kijamii hasa kipindi hiki huku kila mmoja akitaka kuonekana bora kuliko mwingine na hata kutishiana kufichuliana siri zao , wamekuwa gumzo katika kitandao ya kijamii.

download latest music    

Madee anasema kuwa hata yeye alshangazwa sana na kitendo cha wawili hao kuona wanarushiana madongo katika kitandao hivyo aliamua kuwiata na kuongea nao kama watru wazima.

Nilishawasema tangu jana, niliongea nao jana ile ile na kuwaita wote, dogo janja pia nilishaongea nae na amekubali sasa yameisha.na wala hamtaona inajirudia tena.

Wawili hao walikuwa wakirishiana maneno katika itandao ya kijamii huku kila mmoja akitishaia kumuumbua mwenzake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni siri.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.