Maimartha Athibitisha Wema Kutapeliwa na Future Husband

mwanadada maimaratha wa jesse amabe pia ni rafiki wa wema sepetu  amethibitisha kuwa rafiki yake huyo alitapeliwa na mwanaume aliyemtangaza kuwa ndie future husband wake siku za hivi karibuni shilingi milion 40 na kwamba zile tetesi  za kuwa bwana huyo ni mganda ni uongo sio mganda nimtanzania kutoka Tabora.

Pia Maimartha amesema kuwaamekuwa na tabia ya kuwapiga picha wanawake anakuwa nao katika mahusiano na kuwatapeli pesa kama aliavyofanya kwa Wema.

download latest music    

ANATAFUTWA NA POLISI ……………………………………… Dah kumbe kweli lisemwalo kama halipo basi linakuja…huyu jamaa anaitwa Patrick hilo jina la Pck naskia ni la kutapeli watu?

Naskia huju jamaa kweli amemtapeli wema kama million 40 hv? alizipata kwa mauzo ya movie ….(inauma sana)
Naskia ndio tabia yake kutapeli wanawake….alibadilishaga na dini huko Dubai akamuoa mbibi mmoja hivi….huyo mbibi anafamilia yake kabisa….
Afu kumbe jamaa sio mnyarwanda wala nini kwao kumbe tabora….na unaambiwa anapenda kujisexisha na kuwapiga picha mbaya wanawake mwishowe anawatapeli….
Anaroho mbaya sana….ila kwa jeshi la Magufuli kaingia pabaya ….atakamatika tuuu….?
Kumbe insta saa ingine mnasemaga ukweli…maana mlimshikilia bango jamaa huyu kuwa tapeli mpaka ikawa balaa….
Kweli wanawake inabidi muwe makini sana…
Pole tz sweetheart”?
?yaani ungejua dah….pole sana my bby

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.