Majibu ya Harmorapa baada ya kukataliwa na Wema Sepetu

Baada ya Harmorapa kujitokeza mitandaoni na kufanya declaration kwamba amemzimia Wema Sepetu na amgetaka kumuoa waishi pamoja, Harmorapa juzi alipata jibu.

Na halikuwa jibu alilolitarajia kwa sababu Wema alimweleza amuwache na aaache kumharibia image.

download latest music    

Ujumbe ulimfikia harmorapa kweli kweli na hili ndilo alilosema exclusively kwa millard ayo:

 

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi