Majizo Ajitolea Kushughulikia na Matibabu ya Ruge

Meneja Efm na Tv E Majizzo amefunguka  na kusema kuwa wako atika mikakati ya kupanga mipango kwa ajili ya ufanya harambee ili uweza kufanikisha swala zima la upatikanaji wa pesa ya matibabu kwa mkurugenzi wa vipindi clouds media ambae yuko Afrika ya Kusini.

Majizo ameyasema hayo baada ya ndugu wa familia ya  Ruge  kufungua na usema kuwa hali ya mgonjwa bado sio nzuri lakini pia kumekuwa na ugumu katia kulipia matibabu yake wa sababu ya gharama kubwa za hospitali.

download latest music    

Majizo anasema kuwa pamoja na kwamba wameuwa wapinzani wa kazi kutokana na uwa wote wanafanya biashara moja lakini hii haimaanishi kuwa wawili hao wanapswa kuwa maadui hata kidogo.

Lakini pia majizo anasema uwa baada ya kupata taarifa hizo walipanga na kamati yao na kuona uwa ipo haja kubwa ya wao kama vyombo vya habari kuamua kufanya jambo ili kupata pesa ya matibabu ya Ruge ukizingatia kuwa yeye ndie aliemlea katika tasnia hiyo na ufurahia mafanikio yake kila siku.

Majizo anasema kuwa ipo haja kubwa ya kufanya jitihada hizo kwa sababu bado Ruge anahitajia sana kwake na kwa jamii yote inayomzunguka hivyo lazima kufanya  jambo.

Bada ya kupata taarifa ya Ruge kuumwa nilitamai sana muujiza wa harak kutokea,nilipokea taarifa ya kusikitisha sana taarifa za kuumwa kwa Ruge na kwa nafasi yangu nitafanya ninayoweza ili kumsaidia  kupitia vyombo vyangu vya habari na hata mimi personal.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.