Makonda Agharamia Mazishi ya Agness Masogange

Imethibitika kuwa moja ya wadau waliosaidia kufanikisha maombelezo ya kifo cha mrembo Agness Masogange ni mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambae alitoa magari ya usafiri kwa baadhi ya watu kutoka jijini Dar kwenda mkoani Mbeya ambako mwanadada huyo alizika jana april 23.

Akiongea katika kutoa shukrani Mc Pilipili amshukuru sana mkuu wa mko wa mbeya kwa ushirikiano walioonyeshwa na serikali yake tangu wakiwa njiani lakini pia akaongezea na kusema kuwa serikali imesaidia kwa kiasi kukibwa sana katika utoaji wa usafiri na kumtaja Makonda kuwa ndie alietoa usafiri.

download latest music    

Ndugu mkuu wa moa kuna upendo mkubwa tumeona kutoka kwa serikali yenu , tulipokuwa njiani umekuwa ukitupigia simu kila mara kutuuliza tuko wapi na tunaamini kabisa ujalala siku ya leo.pia tunamshukuru mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam kwakuwa ndie alielipia magari mawili , matatu kwa ajili ya usafiri kufika huku, na hata kamati iliyokuwa ikishughulika na kutoa heshima za mwisho pale leaders club ikiongozwa na Steve Nyerere imepewa msaada mkubwa sana na serikali.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.