Makonda Amtembelea Pascal Cassian

Mh paul makonda amepata fursa ya kwenda kumuangalia msanii pascal cassian ambae aliamishwa kutoka hospitali ya muhimbili na kupelekwa mloganzila ambapo alipatiwa vipimo na kuanza matibabu mara  moja.

Mh paul Makonda alijitolea kumpatia matibabu msanii huyo hasa baada ya msanii huyo nafamilia yake kuomba msaada kwa watu mbalimbali kuwapatia pesa kwa ajili ya matibabu.

download latest music    

Hata hivyo Mh paul Makonda anasema kuwa madaktari wametoa matumaini ya kupona kwake na kusema kuwa kila kitu kinawezekana hasa baada ya kupata vipimo vyae vyote vya ugonjwa anaoumwa.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.