Loading...

“Maneno Hayawezi Kueleza ni Jinsi Gani Nakupenda”- Ben Pol

January 10, 2019 at 06:20
“Maneno Hayawezi Kueleza ni Jinsi Gani Nakupenda”- Ben Pol

Msanii wa muziki wa Bongo fleva Bernard Paul maarufu kama Ben Pol ameibuka na kumtumia ujumbe mzito wa kimahaba Mpenzi wake Anerlisa.

Siku ya jana Anerlisa alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ameweka wazi kuwa anafikisha miaka 31 na Ben Pol alimtumia ujumbe mzito ambao ulikuwa na maneno matamu.

Loading...

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ben Pol ameweka picha moja na video mbili ambazo zilikuwa zimeambatana na maneno yanayosomeka:

Happy Birthday My Love @anerlisa .. Words Cannot Explain How Much I Love You (Maneno hayawezi kueleza jinsi gani navyokupenda) 💞, Nakutakia Maisha Marefu Na Furaha. May All Your Dreams Come True..(nakuombea ndoto zako zitimie) #MyQueen 🙏🏽❤😘💞💕”.

Share

Comments

  1. ehhhhh

  2. so sweet!

  3. Hapa ni full mahaba

  4. Mtaachana tu…

  5. God bless you too

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…