Maneno ya Steve Nyerere Kwa Uwoya yaleta Gumzo.

Msanii Steve Nyerere amewaacha watu hoi baada ya Kuweka picha ya mwanadada Irene Uwoya huku akijaribu kulinganisha uzuri wake aliokuwa nao  hapo awali an jinsi alivyo sasa hivi huku akisema kuwa aamini kuwa weupe huo ndio weupe wake .

Steve nyerere aliweka picha hzio mbili ambazo ziko tofauti na alivyouwa zamani na alivyo sasa hivi na kuandika ”

download latest music    

DAAAAAAAAAAAA hii last minute wallahi…nimeuangalia mara 300000000000000 nika sema NO LONG PATISPET

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.