Mange Amtetea Hamisa Kuhusu kuji-edit Umbo Lake.

Mwanadada Mange kimambi amewatolea povu na kumkingia kifua mwanadada Hamisa Mobeto baada ya watu kuwa wakisema amekuwa akitumia  njia mbalimbali ili kujionyesha kuwa ana umbo kubwa wakati sio ukweli,

Kuna baadhi ya makundi hata wamekuwa wakimshambulia na kumwambia kuwa hawezi kupiga picha bila kujibinua au kuji-edit katika simu yake kabla ya kuweka picha hizo latika mitandao ya kijamii.

download latest music    

katika ukurasa wake wa instagram,mange aliweka picha mbili tofauti na kusema kuwa wanaosema amekuwa akijibinua sio kweli kwa sababu  hata picha mabazo zimekuwa zikipigwa hivi karibuni ziekuwa zikipigwa na mtoto wake mdog wa mwisho.

Ikumbukwe kuwa hamisa na mange ndio wanakutana mara ya kwanza , kbal ya hapo wawili hao hawakuwahi kuktana zaidi ya mitandao ya kijamii tu.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.