Mange kimambi Awatola Uvivu Team Misa.

mwanadada mashuhhuli katika mitandao ya kijamii Mange kimambi amewatolea uvivu mashabiki wa mwanadada hamisa mobeto kutokana na ukwei kuwa mashabiki hao wamekuwa wakitaka kumcontrol msanii wao kwa kutaka kumfanyisha vile ambavyo yeye hapendi.

Mange anasema kuwa mashabiki wanaojiita tema misa hawapaswi kumuamulia nini vcha kufanya msanii wao zaidi ya kumshauri na kumuacha yeye mwenyewe kuamua kila kitu ambacho anataka kukifanya.

download latest music    

Mange kimambi anasema kuwa sio yeye wala mtu yoyote anapaswa kumuambia hamisa cha kufanya kwa sababu mwisho wa siku watakuja kumuharibia kama walivyofanya kwa wema sepetu ambae alikuwa akifuata akili za team yake na kujikuta akiharibikiwa kabisa.

Mange anasema kuwa hamisa anauweoz wa kuamua kile anachokiona kuwa ni sahihi , na kama kuna jambo baya anakuwa amefanya basi ni kumpa ushauri tu na siio kitu kingine.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.