Masanja Awachana Wanaotumia Mitandao Kutangaza Biashara na Maswala Dini kwa Pamoja

October 11, 2018 at 12:33
Masanja Awachana Wanaotumia Mitandao Kutangaza Biashara na Maswala  Dini kwa Pamoja

Moja ya watu maarufu waliowahi kupata umaarufu sana kupitia vichelesho lakini baadae alikuja kuwa mchungaji na mjsiriamali wa kujitegemea amefunguka na kuwasema baaadhi ya watu wanaofanya biashara katika mitandao ya kijamii kucha tabia ya kuchanganya mambo katika kurasa zao.

Masanja anasema kuwa watu wamekuwa na tabia ya kufungua akaunti katika instagram kisha wanakuwa wanatangza biashara lakini baadae wanazana kuchnganya na mwasala ya dini na siasa humuhumo.

Loading...

Masanja anawashauri watu hao kuwa waangalifu na kama wanataka kufanya vitu vyao binafsi basi inabidi wafungue akaunti zingine tofauti na hizo za biashara.

Una akaunti katika mitandao ya kijamii na umeipa jina la biashara , unaposti biashara yako ya kuku au mayai….lakini hapohapo unaanza kuposti dini na siasa unaanza kuchanganya mambo tena,..tumia akaunti ya biashara kwa biashara na fungua akaunti nyingine na utengeneze ambao  utaposti mambo yao binafsi.

 

 

 

 

5
Leave a Reply

avatar
5 Comment threads
0 Thread replies
0 Followers
 
Most reacted comment
Hottest comment thread
5 Comment authors
JemmoAbuAbuModrickPeter Tall Recent comment authors
newest oldest most voted
Peter Tall
Guest
Peter Tall

Pilipili usioila yakuwashia nini.

Modrick
Guest
Modrick

Pambana na hali yako

Abu
Guest
Abu

akaunti si ni zao jameni

Abu
Guest
Abu

ongeza sauti walioko nyuma wakusikie

Jemmo
Guest
Jemmo

Shida yanaingia kwa masikio moja yanatoka kwa lingine


in Entertainment
Loading...

#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.