Loading...

Mashabiki Wamtolea Povu Aliemshauri Diamond Kuhama Nchi.

December 19, 2018 at 09:00
Mashabiki   Wamtolea Povu Aliemshauri Diamond Kuhama Nchi.

Moja ya mashabiki wa Diamond alimshauri Diamond platinumz kuhama nchi mara baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii huyo amefungiwa kwa muda usiojulikana kisa kuimba wimbo   ambao  ulisgakatazwa kutokana na sababu za kimaadili.

hata hivyo ,shabiki huyo alisema kuwa diamond amekuwa  moja ya wasanii wanaojitolea sana katika kufanya kila kitu kwa jamii lakini serikali haioni mchango wake hivyo, ni bora kuhama nchini na kuhamia kenya au uganda mabako atakuwa huru kufanya kila kitu anachoweza kufanya.

Loading...

Alichoandika shabiki kumshauri diamond platinumz.

Baada ya maoni hayo , watu wengine walikuja juu na kusema haiwezekanai kwa sababu yeye amekuwa akisaidia jamii basi avunje sheria za nchi na huku watu wakimuangalia hivyo wamuogope kama mungu mtu.

 

Share

Comments

  1. Huyo shabiki mbona naona amesema ukweli tu

  2. binadamu kweli hawana shukrani

  3. Hao wa kuongea mengi si wakajenge wao hilo bweni

  4. wabongo ni wanafiki kweli

  5. yataka galby

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…