Mashabiki Wamtolea Povu Kajala Kuhusu Umri wa Binti Yake.

Ikiwa wikiendi hii siku ya Jumapili msanii Kajala Masanja alikuwa akisherekea sikukuu ya kumbukumb ya kuzaliwa ya binti yake anaejulikana kwa jina la Paula na kusambaa kwa picha nyingi katika mitandao ya kijamii kuhusu picha hizo mashabiki zake wamemjia juu na kudai kuwa anawadanganya khusu umri wa mtoto wake.

Katika baadhi ya photoshoots zilizosambaa katika mitandao ya kamii, zinamuonyesha kuwa paula ana miaka 16 wakati mashabiki wanamtuhumu na kusema kuwa hana umri huo.

download latest music    

Huku katika mitandao ya kiamii watu wameanza kuhoji na kusema kuwa mbona binti huyo alimaliza shule ya sekondari tangu miaka miwili iliyopita na kama ndio hivyo binti huyo kwanini awe na miaka hiyo kila siku.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.