Maua Sama na Soudy Brown Waachiwa Huru kwa Dhamana ya Mahakama

Wadau na wasanii wenye kutimia idadi yao saba wameachiwa huru kwa dhamana baada ya kushindwa kupelekwa mahakamani leo mpaka hapo jumatatu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi yao.

wasanii hao ambao walikamatwa kwa kosa la kimtandao na kudharirisha noti ya shilingi elfu 10 , walikamatwa  na kuaa rumande kwa zaidi ya siku nne.

download latest music    

 

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.