Mazishi ya Mrembo Agness Masogange(+Picha)

mazishi ya mrmbo agness masogange yamemalizika huku kijijini kwao mbalizi jijini mbeya mabpo marehemu amezika nje ya nyumbani kwa baba yake mzee gerald waya ambae ndio alikuwa akimtegemea mtoto wake katika maisha yake.

Agness alijitahidi na kufikia hatua ya mafanikio ya kumjengea baba yake nyumba ambayo anaishi sasa hivi,Agness alikuwa hajaolewa lakini alikuwa na mtoto mmoja wa kike.

download latest music    

mtoto wa marehemu akiwa mwenye majonzi.

wasanii na watu mbalimbali waliofika katika mazishi.

mtoto wa marehemu akiwa ameketi na baba yake aliyeshika msalaba

msanii belle 9 akiwa mwenye majonzi akiwa akifarijiwa na duma pamoja na mc pilipili, ikumbukwe kuwa jia la masogange lilipatikana katika wimbo wa msanii huyu ambae alimuweka agness kama video

baba wa marehemu akiweka shada la maua katika kaburi la mwanae

jeneza la marehemu likiwa linaingizwa katika kaburi

irene uwoya alikuwa ni moja ya rafaiki wa karibu wa mwanadada agness akiwa katika majonzi mazito.

irene akimfariji mtoto wa marehemu

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.