Mazishi ya Msanii Sam wa Ukweli.

msanii Sam wa Ukweli aliyefariki siku kama tatu zilizopita anazikwa leo muda huu huko kijijini kwao bagamoyo,msiba huu ambao umegusa watu mbalimbali umehudhuriwa na watu  maarufu akiwepo Mh Ridhiwani Kikwete.

download latest music    

Mh Ridhiwani Kikwete.

Wasanii Fid q na Gnako.

Ben pol

Snura na waombelezaji wengine wakiwa msibani.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.