Loading...

Mh Kikwete Athibitisha Ndoa ya Ali Kiba

April 16, 2018 at 15:12
Mh Kikwete Athibitisha Ndoa ya Ali Kiba

Ikiwa habari zimekuwa zikisambaa katika mitandao kuhusu ndoa ya Alikiba  inayosemekana kufanyika wiki hii tarehe 19 April kusambaa sana, wikiendi hii mh jakaya kikwete amethibitisha hilo baaada ya kuweka hayo bayana katika ukurasa wake wa Twitter kwa kumshukuru alikiba kumtembelea na rafiki yake Ommy Dimpozi lakini pia amempongeza kwa kutarajia kufunga ndoa.

Katika ukurasa wake wa twitter Mh Jakaya Kikwete aliandika”Namshukuru Alikiba kwa kuja kunitembelea na kunitaarifu kuwa anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.nimempatia nasaha zangu na kuumtakia kila la kheri kwa jambo hilo jema aliloamua kufanya”

Loading...

                                                   

Twitt hii inaonyesha dhairiLkwamba ni kweli alikiba anaratajia kufunga ndoa hivi karibuni  na mwanamke kutoka mombasa kama inavyosemekana,  na kwamba imekwisha fanyika kitcheb party  upande wa mwanamke kama ambavyo habari zimekuwa zikisambaa kwamba msanii huyo.

 

 

Share

Comments

  1. safi sana

  2. nimedhibitisha pia lol

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…