Miss Tanzania namba 2 Akumbwa na Skendo ya Mapenzi.

Mrembo wa miss tanzania namba mbili kwa mwaka 2016/17 ambae pia alikuwa ni mshindi wa Miss Mwanza kwa mwaka huo, Mary Lucas amekumbwa na skendo ya kutoka kimapenzi na mwanaume anaejulikana kama Devis ambae inasemekana kuwa ni mshindi wa Mr.Tanzania.

Mrembo huyo ambae inasemekana kuwa amekuwa akionekana maeneo ya chuo na mwanaume huyo huku wakiwa  wanaonekana wakiwa katika mahaba mazito wamekuwa wakifanya vitu hivyo hadharani kavisa bila kuangalia au kujali kuwa wao ni watu wanaofahamika na jamii  au kujali umaarufu wao unaweza kuwaondolea heshima yao.

download latest music    

Akitoa ushuhuda wa mattkio anayoyafanya miss tanznaia huyo, moja ya wanafuzni chuoni hapo anasema kuwa ‘Mwanzoni walikuwa wakifanya wa siri lakini sasa hivi wameona haina haja ya kuficha tena wameamua kuweka wazi,kwaio ni wapenzi naona wameamua kuchaguana kwa sababu wote ni washindi wa mr na miss Tanzania.

Hata hivyo kampuni ya GPL, waliamua kumtafuta Miss Tanznaia huyo ili kutaka kujua ukweli wa matukio na skendo hiyo ambapo  mwanadada huyo alijibu kuwa kuwa katika mahusiano  ni kitu cha kawaida.

kuwa katika mahusiano ni kitu cha kawaida sana , ni kweli nipo katika mahusiano lakini sio na Devis.

Alipotafutwa Devis, hakutaka kuonga mambo mengi bali alisikiaka akisema,

alivyokwambia ni hivyo hivyo mary ni mtu wangu wa karibu sana,tumezoeana sana na inawezekana kuwa hii inawafanya watu waseme kuwa ni wapenzi.

Mary Lucas ni moja ya wanafunzi chuoni hapo(UDSM) akichukua masomo ya sociology  na pia mwanaume huyo ni mwanafunzi katika chuo kimoja.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.