Msanii Kone Nouhoum Kutoka Kenya Amefariki Dunia

Msanii aliyewahi kufanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini Kenya KONE,  amefariki Duniasiku ya February 27 alipokuwa bado akiendelea na matibabu nchini Kenya baada ya kupata ajali ya gari iliyosababisha kuvunjika kwa baadhi ya viungo vyake hasa shingoni.

Msanii huyo alikuwa akipatiwa matibabu na bado wasanii wenzake walijitahidi kwa hali na mali kwa ajili ya kupata pesa kwa ajili ya matibabu yake ambayo yalikuwa yakiendelea hopsitali.

download latest music    

Tunatoa pole kwa wasanii, familia na wanasaa wote kwa ujumla  hasa katika kipindi hiki kigumu MwenyeziMungu awatie nguvu.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.