Mshiriki wa zamani wa Miss Tanzania, Nargis Mohamed ameingia kwenye biashara mpya ya urembo kupitia mtandao.

Nargis Mohamed akiwa na Nafue Nyange anayefahamika zaidi Kama GlamMadam wamezindua biashara mpya.

wameamua kuandaa mafunzo maalum katika fani ya urembo kwaajili ya wanawake na vijana ambao wangependa kujifunza fani hii ya urembo.

download latest music    

“Mafunzo hayo hayachagui jinsia, nia yeti kubwa sisi ni kuwawezesha wenzetu kwa kuwapa ujuzi ili waweze kujiinua kiuchumi kama wajasiliamali na kujijenga kimaisha sambamba na mpango wa serikali yetu kujenga ajira na kujikwamua kutoka kwenye umaskini,” alisema Nargis Mohamed akizumgumza na Bongo 5.

Mafunzo hayo yanapatikana kwa bei nafuu kabisa kupitia tovuti yao www.glammadamlive.com na ni kwa shilingi elfu 10 tu za kitanzania kwa mwezi.

 

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi