Mtoto ni Wa Kwangu na Damu Yangu Sina Problem:-Mo Jay

Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Gigy Money amefunguka ka kujibu tuhuma za Gigy Money kuhusu swala la Gigy Money kutangaza rasmi kuwa mtoto wake sio wa Mo Jay na kwamba yeye ndio anajua ukweli kuhusu baba wa mtoto.

Akiongea na Clouds Media, mo jay anasema kuwa yeye anachoamini ni kuwa mtoto ni wa kwake kwa sababu anajua hilo lakini pia hayta mtoto akikuwa watu wataona mtoto atakavyo kuwa na pia yuko tayari kwa vipimo vya DNA kuthibitisha.

download latest music    

mtoto ni wa kwangu na tena ni damu yangu kabisa wala sina problem na hilo na hatwa waseme kitu gani,am okey wth the DNA na si anakuwa yule mtoto ndo mtamuona mungu ni wa ajabu sana,kila mmoja atamuona huyo mtoto na hata huyo mshikaji wa masaki anapewa tu maskini ya Mungu , anapewa tu kwa sababu ya fedha , familia yake ilikuwa ikitaka siku nyingi sana gift awe na mtoto wao ni basi tu kwa kuwa alikuwa na mapenzi sana na mimi kwaio mshikaji alikuwa kama wale wakimbiaji wa marathoni ambao wanakuwa wamekaa wanasubiri filimbi 

Kwa jinsi inavyosemekana ni kuwa kwa sasa gigy money anaishi na mwanaume mwingine ambae ana pesa kuliko Mo jay na kwa madai ya gigy moeny ni kwamba Mo alikuwa akilea mimba siku nyingi akijua kuwa sio ya kwake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.