Mwili wa Mtangazaji Isack Gamba Wawasili Nchini

Mwili wa aliywahi uwa mtangazaji wa ITV/Radio One nchini isac gamba ambae alifaniiwa kutoka tanzania na kuanza kufanya kazi Idhaa ya Kiswahili DW (Ujerumani) umewasili leo alfajiri  nchini kutoka nchini ujerumani ambapo ndipo mauti yalipomfika .

download latest music    

Mwili huo ambao baada ya kufika ulipelekwa Lugalo hospitali kwa ajili ya kuagwa na tayari kwa mazishi nyumbani kwao Bunda mkoani Mara.Baadhi ya waombelezaji waliofika katika msiba huo  ni kama wanavyoonekena :-

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.