Mzee Abdul Aomba Msaada wa Mtaji kwa Diamond.

Baba mzazi wa msanii Diamond Platinumz, Nzee Abdul ametuma salamu kwa mtoto wake na kuomba amsaidie kumpatia mtaji wa kuweza kufunfua duka kubwa ambalo litakuwa likimuingizia kipato ili aweze kumudu maisha yake.

Akitaja kuwa hata kama itakuwa duka la mitumba kwake itakuwa sawa kwa sababu hiyo ni moja ya biashara aliyoizoea tangu ujanani , lakini pia akiwa na uwezo basi anaweza kumfungulia duka kubwa lolote ili aweze kufanya kazi akiwa amepumzika bila mikiki mikiki yoyote.

download latest music    

Akiongea na waandishi wa habari, baba huyo amasema kuwa Diamond asifikirie kumnunuli gari kwa sababu gari hana uweoz nalo hata kidogo na ni kwa sababu gari inahitaji sana pesa kwa ajili ya kununua spare pale zinapoharibika lakini akimpa mtaji wa kufanya kitu gari atakuja kununua hata baadae akishauza mazao yake shambani.

Baba Diamond anasema kuw asimpe gari kwa sababu atakaposhindwa kulihudumia , liramshinda na ataliwka uani lakii mwisho wa siku ataliuza kwa bei ndogo na ya hasara.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.