Nandy na Vannes Kung’ara One Music Festival

Wasanii wa kike ambao kwa sasa wamekuwa  wakikimbiza game la muziki nchini na nje ya nchi, Vanesa mdee na Nandy wanatarajiwa kufanya show katika tamasha la One music festival mwaka huu tamasha mabalo mwaka uliopita liliweza kumchukua vannesa pekee kutoka Tanzania .

Tamasha hilo linlaotarajiwa kufanya mwezi huu mwaka huu huko nchi Dubai , linategemewa kuwa na wasanii mbalimbali kutoka afrika lakini kwa tanzania wasanii waliobahatika kutuwakilisha ni pamoja na nadny na vanesa.

download latest music    

Wanadada hawa wanategemewa kuwakilisha vizuri nchi ya Tanzania na pia kutangaza vyema muziki wa nchii ikiwa ni moja ya fursa walioipata kukutana na wasanii wengien na wadau mabalimabli wa muziki barani Afrika.

Wasanii hawa mabo wanatarajiwa pia kutangaza vyema kazi zao ukizingatia kuwa wote wametoa album zao mwaka huu .

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.