“Naona Mungu kajibu maombi yako” Ujumbe wa Rayvanny kwa meneja wa Harmonize

Meneja wa Harmonize amebarikiwa, Ricardo Momo sasa ni baba wa mtoto mchanga aliyezaliwa siku chache zilizopita.

Rayvanny ndo msanii wa kwanza kumponza Ricardo Momo hadharani, msanii huyo alisema mtoto wake Ricardo alichukua rangi ya mamake.

download latest music    
Mwanawe Ricardo Momo

“Hongera Sana Manager @ricardomomo Naona Mungu Kajibu Maombi yako. Raha sana Kua na Mtoto ?????? Cheupeeeee! Kama mama vileee dah @ricardomomo @kameboy_j” Rayvanny aliandika.

Ricardo Momo

Baby mama wa Ricardo Momo

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere