Nelly Atwaa Taji la Miss Uaresia Africa 2018 Nchini Uturuki

Mwanadada anaewakilisha vyema Tanzania katika maswala mbalimbali ya urembo ingawa jina lake mara nyingi limekuwa likizungumzwa kwa uchache na watu chinichini ameibuka tena kidedea nchini utruki  baada ya kuwaaa taji la miss Uaresia Afrika baada ya kuwabwaga waafrika wengine .

Nelly ameshika namba mbili katika mashindano hayo huku akitwaa taji ya Miss beauty katika mashindano hayo.

download latest music    

Ukiacha Hilo, Nelly anayetajwa kuwa na miaka 25 aliwahi kuwa Miss Ilala Namba Tatu mwaka 2008, baadaye akashinda Miss universe Tanzania 2011 na kwenda nchini Brazil kushindana, mwaka huo huo akaiwakilisha Tanzania katika Miss Earth nchini Philippines, mwaka huo huo 2011 tena akaiwakilisha Tanzania katika Miss International nchini China. .
Mwaka huo huo 2011 Nelly alishinda Miss Southern Africa International ambapo katika mashindano ya kimataifa ya Miss Tourism Queen international 2011 nchini China alishika nafasi ya 5.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.