Ni Miaka Miwili tu ndo Nilipata hii Shepu :- Posh

Mwanadada posh queen amefunguka na kuongea na moja ya waandishi kutoka wasafi tv kuhusu shepu yake ambayo iekuwa gumzo sana katika mitandao kwa siku hizi mbili tatu kutokana na kutokea kwa picha katika mitandao ya kijamii zikimuonyesha miaka iliyopita alivyokuwa.

Akiongea kwa kutoa povu, Posh anasema kuwa hakuna anajua nani amekuwa na picha hzio lakini anashukuru kwa sababu hata yeye hakuwa nazo.

download latest music    

Lakini pia mwanadad huyo anasema kuwa nashangaa sana watu wanavyokaa na kusema kuwa anatuamia dawa huku wakimtukana lakini baada ya hapo wanamfuata DM kumuomba dawa  aliyoitumia yeye wakati yeye hakutumia dawa yoyote.

Posh anasema kuwa picha ambazo zilisambaa zilikuwa ni miaka miwili iliyopita lakini sasa hivi amenenepa na ndio maana yuko hivyo lakini pia mungu amempendelea na kumuongezea vile alivyo sasa

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.