Nikki wa pili Amlilia Amber Rutty

Msanii wa muziki wa hip-hop nchini nikki wa pili amefunguka na kuonyesha masikitiko yake kwa mwanadada Amber Rutty ambae amekwenda gerezani wikiendi iliyopita  baada ya kuonekana na hatia ya kuvujisha picha mtandaoni akiwa anafanya mapenzi na mpenzi wake kinyume na maumbile.

mwanadada huyo ambae pia na video vixen na muimbaji amewasikitisha wengi baada ya kukosa dhamana iliyokuwa wazi juu ya kosa lake au kifungo .

download latest music    

Niki anasema kuwa amekubali kuwa mwanadada  huyo na mpenzi wake wamefanya kosa lakini, video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii wakiwa wanaingiza gerezani inatia huruma zaidi.

Amber Ruty na mpenzi wake walifkishwa mahakamani kwa kosa la kuvujisha video hiyo na kupewa hukumu ambayo watu wengi waliom bawapunguziwe adhabu hiyo kwa sababu bado wapo katika kujifnza.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.