Niliumizwa Sana na Mapenzi Lakini kwa Prezzo Nimekuta ni Tofauti. :-Amber Lulu

Mwanadada Amber Lulu ambae hivi karibuni amerudisha mapenzi yake kwa msanii Prezzo kutoka Kenya amefunguka na kusema kuwa kitu kikubwa kilichomfanya hata kurudina na msanii huyo ni kutokana na mapeni ya kweli anayoyapata kwa mwanaume huyo ambae amekuwa akimpa faraja na sio kama wanaume waliopita .

Wawili hao walianza kuonekana kama wamerudiana  baada ya mwanadada huyo kuweka picha ya mwanaume huyo katika ukurasa wake wa instagram , kadri siku zinavyozidi kwenda amekuwa akiweka picha zinazowaonyesha kuwa wapo karibu zaidi.

download latest music    

picha aliyoweka amber lulu hivi karibuni.

Amber Lulu anasema kuwa tangu amekuwa na prezzo ameona kuwa ni wa tofauti kwa sababu mahusiano yake ya nyuma alikuwa akilizwa sana na hata mara nyingine amekuwa akipigwa na wanaume anakuwa nao katika mahusiano lakini sio prezzo.

nilipata maumivu sana katika mapenzi, nililia sana na kuzalilishwa sana, yaan nilikuwa kama teja lakini sio tu wa kuvuta sigara na bangi n unga bali kwa prezo nilikuta byuko toifauti sana.nimeona niridishe penzi kwa nguvu.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.